Psalms 69:14


14 aUniokoe katika matope,
usiniache nizame;
niokoe na hao wanichukiao,
kutoka kwenye vilindi vya maji.
Copyright information for SwhKC